• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mamlaka zatakiwa kuhamasisha urasimishaji

Imewekwa tarehe: August 18th, 2021

Na Munir Shemweta, WIZARA YA ARDHI

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kutumia njia mbalimbali katika kuhamasisha zoezi la urasimishaji ikiwemo taasisi za siasa ili kuongeza kasi ya utoaji hati.

Dkt. Mabula alisema hayo jana katika kikao cha Watendaji wa sekta ya ardhi, kampuni za upangaji na upimaji kilichofanyika katika chuo cha Mipango jijini Dodoma.

‘’Tunahitaji kuhamasisha zoezi la urasimishaji na tunaweza kushirikisha taasisi za siasa ili zisaidie kazi hiyo’’ alisema Dkt Mabula.

Wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Tabora hivi karibuni, Dkt. Mabula alitembelea ofisi ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora na kuelezwa na Mwenyekiti wa chama hicho Hassan Mwakasubi kuwa, wako  tayari kusaidia uhamasishaji wananchi umuhimu wa kuwa na hatimiliki ya ardhi.

Alisema, taasisi za kisiasa zinaweza kusaidia kuhamasisha wananchi kumilikishwa ardhi badala ya kuiachia serikali pekee kwa kuwa mara nyingi taasisi hizo zimekuwa karibu na wananachi.

‘’Tunapozungumzia urasimishaji isiwe suala la hiari ni vizuri tukawaeleza wamiliki faida na kipi kinawafanya wafurahie umiliki wa ardhi’’ alisema Dkt Mabula.

Aidha, aliwaambia watendaji hao waliojumuisha Makamishna wa Ardhi Wasaidizi  wa mikoa na Wasajili wa hati na Nyaraka kuwa, ni vizuri wakati wa uandaaji hati ni lazima watendaji wa sekta ya ardhi wakawekeana malengo ili kuweza kutoa hati nyingi na kusisistiza kuwa viwanja vyote vilivyoidhinishwa ni lazima viandaliwe hati.

Mapema akizungumza na watendaji hao, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi alisema, uhamasishaji lazima ufanyike ili wananchi wajue kama wanapaswa kuingia kwenye zoezi hilo na kuelewa umuhimu wa upatikanaji miundombinu.

Kwa mujibu wa Lukuvi kwa sasa wamiliki wa ardhi katika maeneo ya mijini ni suala la lazima na wananchi wenye nyumba au viwanja wanatakiwa kuchangamkia zoezi hilo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.