• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Matumizi sahihi ya Kemikali hayaepukiki- Dkt. Jingu

Imewekwa tarehe: December 12th, 2024

Na WAF - DODOMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema matumizi sahihi ya kemikali ni kiungo muhimu ili kuchagiza maendeleo nchini na Duniani kwa ujumla kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Dkt. Jingu ametoa kauli hiyo mkoani Dodoma wakati akifungua kikao cha wadau wa kemikali nchini kilichoandaliwa na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na kuwashirikisha zaidi ya wataalam 187 kutoka makampuni na Tasisi mbalimbali ya nchini.

“Maendeleo makubwa tunayoyapata kwenys sekta zote mchango wa sekta ya kemikali ni mkubwa, kwahiyo matumizi sahihi ya kemikali ni kiungo muhimu,” amesema Dkt. Jingu.

Dkt. Jingu amewataka wakemia binafsi na wa Serikali kuhakikisha wanazingatia miongozo, kanuni na sheria kwa kuongeza umakini wa matumizi sahihi ya kemikali ili kuepusha madhara kwa binadamu na mazingira.

“Nitoe rai kwa sisi wote kuhakikisha tunatumia kemikali vizuri kwa matumizi sahihi ya kwa ajili maendeleo ya makampuni yetu, nchi yetu, watu wetu na jamii zetu kwa ujumla na kuepusha madhara kwa watu na Mazingira kwa ujumla,” amesema Dkt. Jingu.

Dkt. Jingu pia ameitaka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuendelea kutoa elimu na mafunzo kwa watendaji na wasafirishaji wa kemikali kuhusu matumizi sahihi ya kemikali kulingana na shughuli wanazozifanya bila kusahau matumizi ya vifaa kinga ili kujiepusha na vilema vya kudumu na athari zinazoepukika.

“Ofisi ya Mkemia iendelee zaidi kwa kufanya tathmini za mara kwa mara ya vifaa vya usalama katika maeneo yetu, itasaidia kuyaona maeneo ya shida na yenye ukakasi na kuendelea kuzingatiwa kanuni na miongozo,” amesema Dkt. Jingu.

Kwa upande wake Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko awali akimkaribisha Katibu Mkuu amesema lengo la mafunzo hayo kwa wadau ni kuhakikisha wanakuwa n matumizi ya kemikali.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.