• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Meya Mwamfupe ashauri vijana kutumia fursa mifumo ya chakula

Imewekwa tarehe: July 14th, 2021

VIJANA wa Tanzania wanayo fursa kubwa ya kuchangia kwenye kutatua changamoto za mifumo ya chakula kwa kutumia ubunifu, ujuzi na maarifa na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla.

Ushauri huo umetolewa leo na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe wakati akifungua kongamano la vijana kujadili mifumo ya chakula (Food System Summit) kwa mwaka 2021 mkoani Dodoma.

Amesema suluhisho la uhakika wa mifumo ya chakula unategemea sana ubunifu na ushiriki wa vijana nchini ili sekta ya kilimo iwe endelevu na kuzalisha ajira kwa vijana wanaojihusisha kwenye mnyororo wa thamani katika sekta ya Kilimo.

Kwa upande wake Mshauri wa Sera na Mratibu wa Mkakati wa Vijana kushiriki kwenye Kilimo toka Wizara ya Kilimo Revelian Ngaiza alisema mkakati wa serikali unahusisha kuwajengea uwezo vijana kuanzisha Kilimo biashara na kuajili wengine ili kuchangia zaidi kwenye uchumi wa Taifa.

“Serikali inawataka vijana nchini kupitia kongamano hili  watoe mawazo katika kuboresha mifumo ya chakula itakayochangia kukuza uchumi wa vijana na taifa kupitia sekta ya Kilimo” alisisitiza Ngaiza.

Akitoa mada kwenye kongamano hilo Mtaalaam wa lishe kutoka Wizara ya Kilimo Magret Natai alisema Mifumo ya Chakula inamaanisha kuwa “mkusanyiko wa shughuli mbalimabali zinazohusisha uzalishaji wa chakula, kuanzia kwa mzalishaji (mkulima na mfugaji) ukijumlisha wadau wa kati, wasambazaji, wasindikaji, wasafirishaji mpaka mlaji”.

Naye mtaalam wa lishe kutoka Shirika la Mpango wa Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) Stella Kimambo akichangia kwenye kongamano hilo amesema kuna umuhimu wa kubadili utaratibu wa uzalishaji na matumizi ya ulaji vyakula vyenye kuzingatia lishe bora.

Wizara ya Kilimo imepewa jukumu la kuratibu na kuhakikisha wadau wote wa sekta ya umma na binafsi katika mfumo wa chakula wanashiriki mijadala ambapo mapendekezo ya nchi yatawalishwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa utakaofanyika mwezi Septemba mwaka huu New York Marekani.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.