• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mtoto atakechelewa kufika shule kwa wakati kulima matuta kumi

Imewekwa tarehe: January 4th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameyasema hayo leo tarehe 04 Januari 2024 wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kukagua Miradi ya ujenzi wa shule ya Sekondari ya Michese na kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Kata ya Mkonze eneo la Michese.

Akizungumza na wananchi wa Michese  Senyamule amesema mtoto atakaye chelewa kuanza Masomo kwa wakati atalima matuta kumi.

“Wazazi msiwasababishie watoto adhabu ya kulima matuta kumi kwasababu ya kuchelewa kufika shule kwa wakati na kuchelewa kuanza masomo wanafunzi wanaanza kusoma tangu siku ya kwanza wanapofungua shule”

“Dodoma tunataka ufaulu wa kiwango cha juu kama ilivyo hadhi ya Makao Makuu ya nchi yetu tunaendelea kufanya vizuri kwenye masomo na hatutaki kurudi nyuma” Amesema Senyamule.

Pia Senyamule amekagua ujenzi wa shule ya Sekondari ya Michese unaotekelezwa katika kata ya Mkonze eneo la Michese na kuagiza kukamilika kwa ujenzi huo ili ifikapo tarehe 08 Januari wanafunzi waweze kukaa kwenye madarasa yenye ubora.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Elimu wa Mkoa wa Dodoma Bw.Justin Machela amesema tuwapeleke watoto wetu shule na kuepuka Malalamiko yasiyo na Msingi ili kuhakikisha watoto wanaanza masomo kwa wakati na kuwanunulia vifaa vinavyoitajika Shuleni kama madaftari na kalamu.

Vile vile Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkonze Bw. Andrew Rumishaeli amesema shule ya Sekondari Mkonze ilipokea kiasi cha Shilingi Milioni 544 ikiwa ni fedha za Sequip kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 08 vya madarasa vyenye ofisi 02, Jengo la Utawala, Jengo la maktaba, Jengo la Tehama, vyoo vya wanafunzi matundu 08, Kichomea taka na Tanki la maji la ardhini.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.