• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Naibu Waziri Mavunde ahimiza vijana kushiriki katika sekta ya kilimo

Imewekwa tarehe: June 18th, 2022

NAIBU WAZIRI wa Kilimo, Mh. Anthony Mavunde amewataka vijana nchini kuchangamkia sekta ya kilimo kutokana na mpango wa serikali uliowekwa wa kuwashirkisha kundi kubwa la vijana katika kilimo ili kuwafanya vijana kuwa sehemu ya kuchochea maendeleo ya uchumi nchini na kuikuza sekta ya kilimo nchini kufikia ukuaji wa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo katika ukumbi wa Polisi Jamii, Jijini Dodoma wakati akizungumza na Vijana wa kike wa vyuo vikuu katika kongamano la fursa kwa mtoto wa kike lililoandaliwa na Taasisi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma iitwayo Girls At Work (GAWO).

“Serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan imekuja na programu ya kuwashirikisha vijana kwenye kilimo iitwayo Building a Better Tommorow (BBT) ambayo lengo lake kubwa ni kuongeza ushiriki wa vijana katika sekta ya kilimo sambamba na utatuzi wa changamoto ya ajira kwa Vijana.

Huu ni wakati mzuri wa Vijana kushiriki kwenye sekta ya kilimo kwakuwa mipango na mikakati ya serikali imelenga kuifanya sekta ya kilimo rafiki zaidi kwa Vijana kwa kuweka mazingira wezeshi ikiwemo upatikanaji wa ardhi, pembejeo, mitaji na masoko ya mazao ya kilimo.

Mwaka huu tutaanza utekelezaji wa programu hii kwa majaribio katiko wilaya za Bahi na Chamwino mkoani Dodoma katika eneo la ekari 20,000 na baadaye tutaendelea katika maeneo mengine nchini” Alisema Mavunde.

Akimkaribisha Mgeni Rasmi, Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya GAWO, Bi. Witness Ponsian Mosha ameeleza malengo ya uanzishwaji wa Taasisi hiyo kuwa ni kulenga kumletea mtoto wa kike mapinduzi ya kifikra na kumuwezesha kiuchumi ili kufikia malengo yao, na hivyo wamekuwa wakiwafikia wasichana mbalimbali katika jamii kupitia makongamano na  warsha mbalimbali kama sehemu ya mkakati wa kuwajengea uwezo.

Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi. Happines Mgongo amewataka vijana wa kike kutokukatishwa tamaa na kuishi katika misingi ya maadili ili kufikia malengo waliyojiwekea.

Baadhi ya vijana wa kike wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri Anthony Mavunde.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.