Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuteuliwa kwa wagombea pekee wa ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume Njedengwa jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa.
NA
|
JIMBO
|
JINA
|
NA
|
JIMBO
|
JINA
|
|
1.
|
Ushetu
|
Elias Kwandikwa
|
|
10.
|
Songwe
|
Philipo Mulugo
|
2.
|
Kongwa
|
Job Ndugai
|
|
11.
|
Bukene
|
Zedi Jumanne
|
3.
|
Gairo
|
Ahmed Shabiby
|
|
12.
|
Nzega Vijijini
|
Hamis Kigwangalla
|
4.
|
Kilosa
|
Palamagamba Kabudi
|
|
13.
|
Ruangwa
|
Kassim Majaliwa
|
5.
|
Mvomero
|
Jonas Van Zeela
|
|
14.
|
Mtama
|
Nape Nnauye
|
6.
|
Morogoro Kusini
|
Kalogereris Innocent
|
|
15.
|
Namtumbo
|
Vita Kawawa
|
7.
|
Morogoro Mashariki
|
Taletale Hamis Shabani
|
|
16.
|
Butiama
|
Sagini Abdallah
|
8.
|
Mlele
|
Eng. Isaack Kamwelwe
|
|
17.
|
Misungwi
|
Alexander Mnyeti
|
9.
|
Kavuu
|
Geofrey Pinda
|
|
18.
|
Bumbuli
|
January Makamba
|
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dkt. Cosmas Mwaisobwa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akizungumza na waandishi wa Habari katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma.
Chanzo: tumeyauchaguzi_tanzania (instagram)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.