Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiambatana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba pamoja na viongozi wengine leo Oktoba 16, 2022 akiwa Nyakanazi Mkoani Kagera amezindua miradi sita ya umeme ikiwemo njia ya kusafirisha umeme wa msongo Kv 220 kutoka Nyakanazi - Geita, Nyakanazi Rusumo, Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Nyakanazi pamoja na njia kubwa za kusafirisha umeme kwenda Mkoa wa Kigoma na Geita.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.