• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Magufuli azindua Bunge, afanya mabadiliko kwenye uwekezaji

Imewekwa tarehe: November 13th, 2020

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamua kulihamisha suala la uwekezaji ikiwemo Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu na kukihamishia Ofisi ya Rais ili aweze kupambana vizuri na wanaokwamisha wawekezaji.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Jijini Dodoma wakati wa Ufunguzi Rasmi wa Bunge la 12 Mkutano wa Kwanza kikao cha Nne alipokuwa akilihutubia bunge.

Aidha, Rais Magufuli amesisitiza kuwa mtu mwenye mtaji anayehitaji kuwekeza katika Tanzania apate vibali ndani ya siku 14 ili uwekezaji huo uweze kusaidia taifa hili kukua kimaendeleo.

“Miaka mitano iliyopita tuliwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 32,555 na kuiwezesha nchi yetu kushika nafasi ya kwanza kati ya nchi 35 za Afrika kwa kupambana na rushwa kwa kifupi niseme utumbuaji unaendelea”, ameeleza Rais Magufuli

Rais Magufuli amesema kuwa atashirikiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kulinda amani, na hawatokuwa na utani hata kidogo na mtu atakayetaka kuvuruga amani na kuingilia uhuru wa Tanzania.

“Namuhaidi rais mwinyi ntampa ushirikiano wa kutosha katika kukamilisha aliyoyaahidi ili kutimiza adhima ya watanzania walio tuamini”, amesisitiza Rais Magufuli.

Lakini pia Rais Magufuli ameeleza kuwa Sekta ya utalii imeajiri watu takribani milioni nne kwenye miaka mitano iliyopita , sekta hiyo ilikuwa ikitoa mchango mkubwa ambao ulikuwa unaridhisha ambapo idadi ya watalii waliotembelea nchini iliongezeka pamoja na mapato pia.

“Naipongeza hifadhi yetu ya taifa ya Serengeti kwa kuchaguliwa kuwa hifadhi bora barani afrika mwaka huu”, amepongeza Rais Magufuli.

Rais Magufuli amesema kuwa miaka mitano ya ya uongozi  wake wa awamu ya pili watanunua meli nane za uvuvi ambapo meli nne zitakuwa Zanzibar nan ne Tanzania Bara ambapo zitafanya kazi kwenye bahari kuu.

Pia Rais Magufuli ameongeza kuwa serikali yake imepanga kupunguza foleni barabarani , itapanua viwanja vya ndege 11, kuboresha upatikanaji wa huduma za umeme , itafikisha umeme kwenye vijiji vyote vilivyobaki, na upande wa afya itahakikisha watanzania  wote wanakuwa na bima ya afya na kuongeza hospitali.

Hata hivyo Rais Magufuli amesema kuwa Katika miaka mitano ijayo amepanga kuimarisha usafiri wa reli ya kati na TAZARA, kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Daer es salaam , Morogoro, hadi Dodoma.

Habari na picha: Kwa msaada wa Fullshangwe Blog



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.