• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia aahidi kuimarisha maslahi ya wafanyakazi

Imewekwa tarehe: May 1st, 2022

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanaania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuimarisha maslahi ya wafanyakazi nchini.

Rais Samia ametoa ahadi hiyo wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Aidha, Rais Samia amesema kwa kuwa alishatoa ahadi mwaka jana, ameagiza kufanyika kwa majadiliano ya kuimarisha maslahi ya wafanyakazi yanayoendelea kati ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na Serikali ili kujua kiwango cha maslahi kitakayohitajika.

“Yale tuliyofanya mwaka huu, mambo mbalimbali, kupunguza kodi… tutaendelea kuyafanya. Lakini pamoja na hayo, lile jambo letu lipo. Ndugu zangu, jambo letu lipo si kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wetu, na hana hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana, uchumi wetu ulishuka chini mno.”

Kwa upande mwingine, Rais Samia ameagiza Maafisa Rasilimali Watu pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kushughulikia haki na stahiki za watumishi wanaotarajia kustaafu ndani ya miezi sita ili mtumishi anapofika muda wa kustaafu, mafao yake yawe tayari.

Kuhusu watumishi waliofanya kazi kwa muda mrefu na kisha kufukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti vya kughushi bila kulipwa malipo yoyote, Rais Samia ameagiza Wizara ya Fedha na Mipango kushughulikia stahiki zao zinazotokana na makato ya mishahara yao na kuwalipa.

Vile vile, Rais Samia amesema Serikali imeshaunda Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi na ya Umma na tayari zimeshaanza kufanya tathmini ya mishahara iliopo sasa.

Serikali imeendelea kustawisha maslahi ya wafanyakazi tangu mwaka 2021 ikiwemo kupunguza makato ya kodi, kuongeza umri wa wategemezi kutoka miaka 18 hadi miaka 21, kupandishwa vyeo kwa watumishi, kubadilisha kada, kulipa malimbikizo ya watumishi pamoja na kutoa ajira mpya.

Maandamano ya wafanyakazi wakipita mbele ya mgeni rasmi, Mhe. Rais Samia Suluhu Hasssan na jumbe mbalimbali.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.