RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Septemba 2021 ameshiriki mkutano uliojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York nchini Marekani.
Pichani juu baada ya kutoka katika mkutano huo akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula (kulia) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa New York Marekani, Balozi Kennedy Gaston (kushoto).
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.