RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu rasilimali bahari Duniani, kabla ya baadaye kuelekea nchini Ubelgiji kwa ajili ya ziara nyingine ya kikazi.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.