MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, ametangaza ukomo wa madaraka kwa viongozi wa Serikali za mitaa kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wa ofisi yaje jengo la MKapa Jijini Dodoma.
Ukomo huo wa madaraka ni kwa viongozi ngazi za wenyeviti wa vijiji, vitongoji, mitaa pamoja na wajumbe wa Halmashauri za vijiji na Kamati za mitaa.
“Kila mmoja anapaswa kufahamu kwamba, kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Madaraka ya uongozi kwa nafasi zilizotajwa, yanakoma kwa siku saba (7) kabla ya siku za kuchukua fomu za kugombea uongozi wa nafasi .
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.