• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yaondoa sharti la ulazima wa kuvaa barakoa

Imewekwa tarehe: September 8th, 2022

KUTOKANA na hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kuendelea kupungua hapa nchini na duniani kote, Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi.

Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu leo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa UVIKO-19 katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo Jijini Dar Es Salaam.

“Kwa siku za hivi karibuni, idadi ya maambukizi mapya ya UVIKO-19 duniani yamekuwa yakipungua. Hali ya ugonjwa huu nchini pia imeonekana kupungua ikiwemo makali ya ugonjwa huu yanayopelekea watu kulazwa, uhitaji wa hewa tiba ya oksijeni, uhitaji wa mashine ya kusaidia kupumua na hata vifo” amesema Waziri Ummy Mwalimu.

Amesema sababu nyingine ilisababisha hali ya maambukizi kupungua kuwa ni uchanjaji wa chanjo ya UVIKO-19 ambapo kwa sasa asilimia 60 ya walengwa (wenye umri zaidi ya miaka 18) wamechanjwa.

Waziri Ummy amesema takwimu zinaonyesha kupungua kwa ugonjwa huo nchini Tanzania huku takwimu zikionyesha mpaka kufikia tarehe 7 Septemba 2022, Tanzania ilikuwa na jumla ya visa 35,747 vilivyothibitishwa kuwa vya maambukizi ya UVIKO-19 na vifo 808.

“Kwa kuwa hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 yanaendelea kupungua duniani kote na hapa nchini, Serikali inaondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani pale inapobidi” amesema Waziri Ummy.

Waziri Ummy amesema hatua nyinginezo ambazo zimelegezwa mara baada maambukizi ua ugonjwa huo kupungua kuwa ni; Kusitisha kufanya kipimo cha haraka (Rapid Test) kwa wasafiri wanaoingia nchini kutoka nchi zote wenye vyeti vya chanjo ya UVIKO- 19 au cheti cha RT – PCR; Kuongeza umri wa watoto kutoka nje ya nchi wanaotakiwa kusamehewa kupima UVIKO-19 kabla hawajaingia nchini kutoka umri wa miaka 5 hadi miaka 5 pamoja na Kuondoa sharti la kipimo cha RT-PCR kwa madereva wa malori na magari ya abiria yanayoingia nchini kwa waliopata chanjo ya UVIKO – 19 pamoja na kusitisha matumizi ya vipimajoto (thermoscans) kuchunguza COVID-19 kwa wasafiri yamesitishwa.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.