• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yatumia Trilioni 1.09 elimu bila malipo

Imewekwa tarehe: August 5th, 2020

SERIKALI imetumia shilingi trilioni 1.09 kutekeleza mpango wa utoaji elimu bila malipo nchini ili watanzania wengi waweze kunufaika na elimu hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi nchini.

Kauli hiyo imetolewa na waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo jana wakati akielezea mafanikio ya sekta ya elimu katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Dodoma.

Waziri Jafo amesema “kazi kubwa tuliyoifanya ni uboreshaji wa miundombinu ya elimu yetu katika maeneo mbalimbali, miundombinu ya shule za msingi na sekondari.

Rais Dkt. John Magufuli aliona vijana wengi wanahangaika kwa kukosa elimu na alipoingia madarakani alimuhurumia mtoto wa kitanzania na kuamua kutoa elimu bila malipo. “Tukumbuke kule nyuma kuna vijana waliomaliza kidato cha nne hata vyeti walikuwa wanashindwa kuvipata sababu hawajalipa ada. Hata wengine gharama za mitihani walishindwa kulipia. Watoto wengine walishindwa kumaliza masomo kwa tatizo la ada” amesema waziri Jafo.

Akiongelea kiasi cha fedha zilizotolewa kutekeleza mpango wa elimu bila malipo, alisema kuwa fedha nyingi zimetolewa na serikali. “Mara ya kwanza Mheshimiwa Rais alikuwa anatoa shilingi bilioni 20.8 na leo wastani wa shilingi bilioni 23.86 kila mwezi. Ndani ya miaka mitano, Mheshimiwa Rais ameshatoa shilingi trilioni 1.09 kwa ajili ya program ya elimu bila malipo” amesema Waziri Jafo.

Waziri huyo amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 502.2 zimepelekwa katika elimu ya msingi na shilingi bilioni 593.9 zimepelekwa kwa ajili ya elimu ya sekondari.




Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.