• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

"Si mikopo kiduchu, Jiji la Dodoma mpo juu, hongereni" - Waziri Ummy

Imewekwa tarehe: November 10th, 2021

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ummy Mwalimu ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kutekeleza takwa la kisheria kuvikopesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu shilingi 1,039,050,000 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri.  

Waziri Mwalimu alisema hayo alipokuwa akiongea na mamia ya wananchi wa Jiji la Dodoma waliojitokeza katika bustani ya Nyerere square kabla ya tukio la kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi 1,039,050,000 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

“Niwashukuru na kuwapongeza sana Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma chini ya Mstahiki Meya, Prof. Davis Mwamfupe. Pongezi hizi ziende hadi kwa watendaji wake chini ya Mkurugenzi, Joseph Mafuru kwa kutekeleza kikamilifu maelekezo ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Si mikopo kiduchu, Jiji la Dodoma mpo juu, hongereni Dodoma!” alisema Waziri Ummy kwa furaha kubwa.

Aidha, Waziri huyo alilitaka jiji hilo kuendelea kutoa mikopo mikubwa wa vikundi vya kiuchumi. “Ni matumaini yangu kuwa Jiji la Dodoma haitakuwa mara ya mwisho kutoa mikopo mikubwa. Tunataka kuona mikopo mikubwa, wakopaji wenye mawazo mazuri yanayotekelezeka wapewe mikopo hata milioni 100 na kuendelea. Lakini pia msiache kutoa mikopo midogo kwa vikundi. Najua kuna vikundi ambavyo mnatakiwa kuanza navyo kidogo kidogo kisha vinaenda vinakua” alisema Waziri Mwalimu.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe alisema kuwa Halmashauri hiyo haijawahi kuwa na upungufu wa fedha. Alisema kuwa upungufu unaoikabili halmashauri hiyo ni vikundi kwenda kukopa.  

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru alisema kuwa kwa kipindi cha robo ya kwanza 2021/2022 jumla ya shilingi 1,039,050,000 zimekopeshwa kwa vikundi 48. Alisema vikundi vya wanawake 19, vijana 19 na watu wenye ulemavu 10. Kati ya fedha hizo shilingi 238,514,365 ni mgao wa robo ya kwanza na shilingi 800,535,635 ni fedha zilizovuka mwaka, aliongeza.

 


 

 



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.