LEO ni Siku ya Kimataifa ya Kufasiri (International Translation Day) ambayo ni fursa ya kutoa heshima kwa kazi ya wataalam wa lugha ambao wana jukumu muhimu katika kuyaleta mataifa pamoja, kufanikisha mazungumzo, uelewa na ushirikiano, kuchangia malengo ya ulimwengu na kuimarisha amani na usalama duniani.
Katika kuonesha hilo, Umoja wa Mataifa (UN) umetoa taarifa kuwa hadi sasa una lugha sita rasmi zinazotumiwa na umoja huo ambazo ni Kichina, Kiingereza, Kihispania, Kiarabu, Kifaransa na Kirusi.
Katika suala la ufasiri, Tamko la Haki za Binadamu Duniani (Universal Declaration of Human Rights) linashikilia rekodi ya Guiness ya kuwa nyaraka iliyofasiriwa mara nyingi zaidi ikiwa imefasiriwa katika lugha zaidi ya 500.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.