• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Stanbic, Shule Direct zapiga jeki elimu Jijini Dodoma

Imewekwa tarehe: September 24th, 2021

TAASISI za Benki ya Stanbic Tanzania na 'Shule Direct' zimeunga mkono jitihada za kuboresha mazingira ya kusoma kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mbabala - Jijini Dodoma kwa kugawa viti na meza 100 pamoja na seti ya Kompyuta na Printer kwa uratibu wa shughuli za ofisi na uchapaji wa mitihani.

Akipokea msaada huo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri ameishukuru Benki ya Stanbic kwa kuchangia viti na meza na kuwaomba wadau wengi zaidi kujitokeza kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha mazingira ya wanafunzi kusoma.

Naye Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa mchango huo wa viti na meza utasaidia kupunguza changamoto za upungufu wa viti na meza shuleni hapo na kutumia fursa hiyo kuiomba Benki kuifanya Shule hiyo kuwa ya mfano ya mradi wa kugharamia Elimu unaotekelezwa chini ya uangalizi wa benki hiyo.

Akitoa maelezo yake, Mkurugenzi wa Huduma za kibenki wa Benki ya Stanbic Ndugu Omar Mtiga amesema ni dhamira ya Benki kuhakikisha inashirikiana na serikali katika kutatua changamoto za sekta ya elimu kwa kuja na mpango kabambe wa kusambaza madawati nchini na utunzaji wa mazingira ambapo katika kila dawati moja wanalotoa wanahakikisha pia wanapanda mti mmoja. Mpango huu umeanzia katika Shule ya Sekondari Mbabala Dodoma ambapo jumla ya viti na meza vyenye thamani ya Shilingi 12,000,000 vimetolewa.

Katika kuunga mkono matumizi ya Teknolojia katika Shule za Sekondari, Taasisi ya Shule Direct kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wake Bi. Faraja Kotta Nyalandu imeahidi kutoa seti ya Kompyuta na Printer kuuitikia wito wa Mbunge Mavunde ambaye aliwasilisha ombi hilo rasmi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.