• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tanzania yajinasibu ipo tayari kuwa mwenyeji mashindano ya Dunia

Imewekwa tarehe: December 3rd, 2021

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Innocent Bashungwa amesema Tanzania ipo tayari kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia  mchezo wa soka  kwa wenye ulemavu (WAF) baada ya kumalizika mashindano ya dunia ya mchezo huo Oktoba, 2022 nchini Uturuki.

Mhe. Bashungwa ameyasema hayo leo Disemba 3, 2021  alipoambatana na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Dkt. Hassan Abbasi, Mkurugenzi wa Michezo Yusuph Omary na Kaimu Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa, Neema Msitha wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka  la Bara la Afrika kwa wenye Ulemavu jijini Dar es Salaam ambao pamoja na mambo mengine una lengo la kuwachagua viongozi wakuu wa Shirikisho hilo.

Aidha,  ametoa wito kwa mkutano huo wa ngazi ya juu kabisa Afrika kufikiria kuyaleta mashindano hayo kutokana na mazingira wezeshi na utashi mkubwa  wa Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Amewataka kutumia mashindano haya kuelimisha dunia kupinga ubaguzi na mila potofu za kuwatenga na kuwabagua wenye ulemavu kwa kuwa ni binadamu sawa na wengine na kwamba wanauwezo sawa na wengine.

Ametumia  tukio hilo muhimu kukaribisha mataifa yote ya Afrika kuja kutembelea kilele cha  Afrika; Mlima Kilimanjaro na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwa ni pamoja na utalii wa baharini katika kisiwa cha Zanzibar.

Naye Makamu wa pili wa Shirikisho la soka dunia kwa wenye ulemavu ( WAF) Mateus Wildack ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Samia Suluhu kwa uongozi mahiri wa kuiletea Tanzania maendeleo ya haraka na kuwashirikisha kikamilifu wenye ulemavu na kuwapa kipaumbele kwenye maendeleo hayo ikiwa ni pamoja na eneo la michezo ambayo imefanya vizuri sana.

Ameisifia Serikali kwa uratibu makini iliyofanya kwenye mashindano hayo yaliyofanyika kwa siku saba jijini Dar es Salaam na kuelezea kuwa yamefanyika kitaalam.

Rais wa Shirikisho hilo wa Afrika ( FAAF) Mchungaji Richard Nii Adesah amepongeza Serikali ya Tanzania kwa  ushirikiano na uwezeshaji iliyotoa katika kipindi chote cha mashindano ambapo amesema mkutano huo utasaidia kuleta mabadiliko makubwa kwenye michezo ya walemavu katika Bara la Afrika.

Aidha amewataka mataifa yote ya Afrika kutokubali kugawanywa na kitu chochote kutokana na umoja imara uliojengeka baina ya nchi zote kutokana na mashindano hayo ya Afrika.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.