• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Timu za Uendeshaji wa Huduma za Afya kutumia Takwimu

Imewekwa tarehe: November 11th, 2022

UCHAMBUZI wa takwimu sahihi unaofanywa na timu za uendeshaji huduma za Afya katika ngazi ya Halmashauri kupitia vyumba vya kuchakata takwimu (situation room) zitasaidia kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii na kusaidia viongozi kufanya maamuzi katika kuboresha huduma za afya nchini ikiwa ni sambamba na kuongeza tabia ya kutumia takwimu kufanya maamuzi sahihi katika kuwahudumia wananchi.

Hayo yamesemwa na Mshauri wa Maswala ya ubora wa Huduma za afya wa shirika la Palladium Bw.Masanja Lumaneja leo Novemba 11, 2022 kwenye kikao cha kuwajengea uwezo Timu ya Uendeshaji wa huduma za Afya Mkoa wa Dar-es-salaam.

Amesema kuwa uanzishwaji wa Vyumba vya kuchakata takwimu umesaidia uboreshaji wa afya za wananchi na kuwezesha viongozi kujenga utamaduni wa kutumia takwimu katika kufanya maamuzi ya utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana USAID kupitia mradi wa Palladium waliongeza wigo wa maeneo ya utekelezaji wa huduma bora za Afya kupitia mazuri yaliyoonekana Kituo cha Afya Makole (Makole Model) Dodoma, Mkoa wa Dar es salaam Halmashauri 3 na mkoa wa Dodoma Halmashauri sita.

Akifafanua zaidi Mratibu wa Huduma ya Wauguzi na wakunga kutoka Ofisi ya Rais - TAMISEMI Bi. Mary Shedrack amesema matokeo yaliyonekana wakati wa matumizi ya takwimu kupitia vyumba vya kuchakata takwimu katika Halmashauri 9 za mkoa wa Dar es salaam na Dodoma ni ongezeko la wanawake
wajawazito chini ya wiki 12 kuhudhuria kiliniki, wanawake waliokuja kutibiwa na kuwa na dalili za ujauzito kupimwa kipimo cha ujauzito na waliogundulika wajawazito walisaidiwa kuanza
kliniki mapema na kupata huduma.

Ameongeza kuwa vyumba vya kuchakata takwimu (Situation room) zimesaidi timu ya uendeshaji huduma za Afya kuwa na uelewa wa Pamoja na kufanya maamuzi Pamoja kuhusu
matumizi sahihi ya takwimu katika kufanya maamuzi.

Aidha, amesema kuwa katika uboreshaji wa afya kwa jamii mameneja wakiendelea na utamaduni kupitia vyumba vya kuchakata takwimu wataboresha huduma kwa jamii na kujijengea utamaduni wa kukagua takwimu zao na kuweka
mkakati wa kuziboresha.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.