• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Uzinduzi wa huduma za Treni ya Mwendokasi Dar es Salaam- Dodoma

Imewekwa tarehe: August 1st, 2024

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi huduma za mradi wa Reli ya Mwendokasi (SGR) katika hafla iliyofanyika Mkonze Jijini hapa huku akiridhia ombi la Kituo cha Stesheni ya Reli hiyo kwa upande wa Dodoma kuitwa jina lake.

Akizungumza Agosti 1,2024 Jijini hapa amesema Mradi huo ambao umewekezwa kwa gharama kubwa na umejengwa kwa viwango vya juu,utaleta matumaini mapya katika sekta ya usafiri nchini.

Ametaja kwa mtiririko majina ya stesheni za reli hiyo kwa kueleza kuwa kituo cha Dar es Salaam kitaitwa jina la Magufuli,Kituo cha Morogoro kitaitwa Kikwete,Kituo cha Dodoma kitaitwa Samia wakati kituo cha Tabora kitaitwa Mwinyi ,kituo cha Shinyanga kitaitwa Abeid Karume,Mwanza Nyerere na Kigoma kitaitwa Mkapa.

“Reli ya Mwendokasi itakayotumia teknolojia ya kisasa ina manufaa makubwa ikiwemo kupunguza msongamano wa magari barabarani na kuongeza ufanisi katika usafiri,” Amesema.

Amesema, “Uzinduzi wa Reli ya Mwendokasi ni hatua kubwa kuelekea maendeleo endelevu. Mradi huu utaunganisha miji mikubwa na kuongeza fursa za ajira, huku ukichangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa letu, “amesema

Pamoja na mambo mengine hafla hiyo ambayo ilihudhuriwa na viongozi wa serikali, wawakilishi wa sekta binafsi, na wananchi walitumia nafasi hiyo kuisifu juhudi zilizowekwa kuhakikisha kwamba mradi unakidhi viwango vya kimataifa.

“ Reli ya Mwendokasi (SGR) imeanza rasmi kutoa huduma kwa umma na ina matarajio ya kuwa na ushawishi mkubwa katika kuboresha huduma za usafiri nchini na kutoa ajira zaidi ya elfu 30,”amesema Waziri wa uchukuzi Makame Mbarawa.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.