• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Walimu wote kugawiwa Vishikwambi

Imewekwa tarehe: November 5th, 2022

SERIKALI imezindua zoezi la ugawaji vishikwambi kwa walimu nchini na kuzitaka Mamlaka zinazohusika na kazi hiyo kuhakikisha vishikwambi hivyo vinawafikia walengwa ili viweze kufanya kazi iliyokusudiwa.

Akizungumza katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma uliopo Mtumba wakati wa uzinduzi huo uliohudhuliwa na Meya wa Jiji la Dodoma, Davis Mwamfupe  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa vishikwambi hivyo vinalenga kuboresha mchakato wa utoaji elimu ili kuinua ubora wa elimu nchini, hivyo ni vizuri vikawafikia walengwa ili lengo liweze kutimia.

"Hapa ningependa kusisitiza kuwa vishikwambi hivi ni kwa ajili ya walimu tu na si vinginevyo hivyo Viongozi wote wa Serikali mliopo OR- TAMISEMI, Halmashauri na wale wote watakaokuwa na jukumu la kugawa vishikwambi hivi hakikisheni hakuna mwalimu atakayekosa,” amesisitiza Majaliwa.

Amesema Serikali ya Awamu ya Sita tangu kuingia madarakani imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye TEHAMA ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2020-2025 ambayo inasisitiza matumizi ya TEHAMA katika ngazi mbalimbali za Elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya watu kwa ujumla.

"Walimu hakikisheni mnatumia vishikwambi hivi katika kuboresha mchakato wa utoaji elimu ili kuinua ubora wa elimu nchini na si vinginevyo na naamini mtahamasika katika kutumia
TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji,” ameongeza Majaliwa.

Kwa upande wake Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu imenunua jumla ya Vishikwambi 300,000 kwa lengo la kuendelea kuboresha
mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji nchini.

Amesema vishikwambi hivyo vinakwenda kurahisisha upatikanaji wa nyenzo za kufundishia na kujifunzia, kuongeza idadi ya walimu watakaotumia mfumo wa kujifunzia wa Taasisi ya Elimu Tanzania unaojulikana kwa jina la Learning Management System (LMS) na kuhama kutoka mfumo wa usahihishaji wa mitihani wa makaratasi kwenda mfumo wa usahihishaji wa mitihani kwa njia ya mtandao - (e-marking).

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.