• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wafanyabiashara Soko Jipya la Machinga Dodoma wamshukuru Rais Samia

Imewekwa tarehe: November 18th, 2022

Na. Daudi Manongi, DODOMA

WAFANYABIASHARA ndogondogo maarufu kama Wamachinga waliohamia Soko jipya jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira na miundombinu wezeshi ya kufanya biashara sokoni hapo na maeneo mengine nchini.

Wakizungumza wiki hii na Idara ya Habari-MAELEZO wamachinga hao wamesema kuwa uboreshaji wa mazingira ya kufanyia biashara kwa kujenga masoko ya wajasiriamali nchini kote umekuwa ni chachu kubwa katika kuleta maendeleo kwa wajasiriamali hao nchini.

Mmoja wa wajasiriamali hao, Bw. Yusuph Kasongele amesema kuwa kabla ya kuhamia katika soko hilo alikuwa anafanya biashara zake katika sehemu ambazo sio rasmi ikiwa ni pamoja na kufanya biashara mbele ya maduka ya watu kwa malipo jambo ambalo halikuwa sahihi.

“Tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha ujenzi wa Soko hili la Machinga ambalo limetuepushia migogogoro mbalimbali, na pia kutuweka pamoja imetufanya kufanya kazi zetu kwa kufuata sheria na taratibu za nchi,” ameeleza Kasongele.

kwa upande wake Bi. Elina Msangi, amesema Soko hilo limekuwa suluhisho kubwa kwa wamachinga hao kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakifanya biashara katika maeneo ambayo sio rasmi na ambayo hayana mazingira mazuri ya biashara kwani jua na mvua vimekuwa vikwazo vikubwa kwao.

“Soko hili lina huduma mbalimbali za kijamii ambapo tumewekewa mpaka kituo cha kunyonyeshea watoto pia wametujengea kituo cha Polisi ambacho kinatuhakikishia usalama muda wote pamoja na stendi ya mabasi ambayo inaendelea kujengwa kwa hili tutapata wateja wa kutosha” ameongeza

Naye Daniel Masawe mteja  katika soko hilo, amesema wanamshukuru sana Rais Samia kwa kuwajengea soko zuri sana ambalo kwa sasa limewarahisishia upatikanaji wa huduma zote katika sehemu moja.

“Kwa sasa huduma zote tunazipata sehemu moja hapa soko la Machinga iwe ni huduma za kibenki, mavazi ,chakula, stendi inajengwa hapa ya mabasi kwa hilo kwa kweli tunamshukuru sana Rais wetu kwa maendeleo haya." amesema

Akitoa taarifa kuhusu soko hilo Afisa Biashara Mwandamizi wa Jiji la Dodoma Bi. Donatila Vedasto, amesema soko hilo limeanza kufanya kazi Novemba 1, 2022 na mpaka sasa Soko hilo lina wajasiriamali 3,200 lina huduma za kifedha na huduma muhimu za jamii zikiwemo vyakula na vyoo na vyumba kwa ajili ya wakina mama kunyonyeshea watoto wao.

Soko hili limetengenezwa kutoa huduma masaa 24 ingawa kwa sasa tunatoa huduma kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku na limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 9.5.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.