• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wahitimu Chuo Kikuu cha St. John’s watakiwa kutatua changamoto za jamii

Imewekwa tarehe: December 5th, 2022

WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha St. John’s Tanzania, wametakiwa kutumia ujuzi na maarifa waliyoyapata kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi pekee ili kujikwamua kimaisha.

Hayo alisema Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof.Yohana Msanjila, kwenye mahafali ya 13 ya chuo hicho ambayo wahitimu 965 wametunukiwa vyeti vya ngazi mbalimbali ya elimu na Mkuu wa Chuo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donald Mtetemela.

Prof. Msanjila aliwataka wahitimu hao kuitumikia jamii kwa uaminifu kama sehemu ya programu zao za mafunzo walizofundishwa kwa kuzifanyia upembuzi yakinifu,ili kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii na kuleta mabadiliko chanya.

“Muwe mabalozi wazuri wa chuo chetu huko muendako kumbukeni kwamba popote muendako mmebeba nembo na kauli mbiu ya chuo kwenda kutumika kwa weledi na uaminifu mkubwa, mtumie maarifa mliyopata kujiajiri na kuajiriwa,” alisema Prof. Msanjila.

Aidha,Prof. Msanjila alisema kuwa elimu waliyoipata itakuwa na thamani kubwa endapo itaendana na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika kuleta suluhisho la kero zinazoikabili nchi.

Alisema chuo hicho kimeendelea na uboreshaji wa mitaala ikiwa ni pamoja na kuongeza kozi mpya ambazo mbili zinasubili kibali kutoka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kabla ya kuanza kutumika.

“Chuo kinakusudia kuanzisha kozi fupi kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo huduma kwa wateja, ujasiriamali na utafutaji wa masoko ya bidhaa, zitatolewa kwa watumishi wa serikali, sekta binafsi, asasi za kiraia, na watu binafsi watakaopenda,” alisema.

Alimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa utendaji kwake ambao chuo kina imani naye sambamba na uwekezaji unaofanyika na uimarishaji wa diplomasia ya kiuchumi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Prof.Penina Mlama, alisema taasisi za vyuo vikuu huandaa watalaamu mbalimbali ikiwamo afya, kilimo, biashara,uhandisi na kupitia hao nchi inapata mafanikio kadhaa.

“Sisi niwadau muhimu wa elimu, mchango wa wahadhiri umesaidia kuboresha hali za watanzania popote nchini kupitia kazi zenu mmefungua fursa nyingi kwa wadau,naomba muendelee na juhudi hizi ili nchi yetu iendelee kupaa kielimu nakiuchumi,” alisema.

Naye Mhitimu Emanuel Kombe, aliwaomba wahitimu kutumia elimu na maarifa waliyoyapata kujikwamua kiuchumi kutokana na nchi kukabiliwa na tatizo la ajira.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.