• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wakurugenzi watakiwa kutenga maeneo yatakayowawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika kilimo

Imewekwa tarehe: September 21st, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu,  ameendelea na ziara yake ya kujitambulisha katika Halmashauri za Bahi na Chemba.

Akizungumza na Viongozi pamoja na Watumishi wa Serikali katika Halmashauri hizo, Dkt. Kazungu amewaelekeza Wakurugenzi kutenga maeneo yatakayowawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika kilimo ili kuongeza kipato cha mkoa na kutoa ajira.

“Mkoa wetu wa Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Nchi, hivyo ni vyema wananchi wawe na kipato cha uhakika ili kujikimu na familia zao. Sisi kama viongozi ni lazima tubuni mbinu hasa katika sekta ya uzalishaji,” alisema Dkt. Kazungu.

Aidha, aliwataka Watumishi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kanuni, sheria na taratibu za Utumishi wa Umma sambamba na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, na kuitafsiri dira hiyo kwa vitendo ili kufanikisha malengo yake.

Vilevile, aliwataka viongozi wa Halmashauri hizo kuhakikisha watumishi wanapata haki zao za msingi ikiwemo likizo, uhamisho, malipo ya posho pamoja na kuimarisha mahusiano mazuri kazini.

Akihitimisha, Katibu Tawala huyo aliwakumbusha watumishi hao kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la upigaji kura Oktoba 29, 2025.



Matangazo

  • REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST (EoI) (SELECTION OF AN INDIVIDUAL CONSULTANT September 19, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR RECRUITMENT OF URBAN TRANSPORT PLANNING SPECIALIST FOR THE CITY COUNCIL OF DODOMA (CCD) September 19, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • RC. Senyamule atoa wito kwa wadau wa ushirika kushiriki uchaguzi mkuu

    September 22, 2025
  • Wakurugenzi watakiwa kutenga maeneo yatakayowawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika kilimo

    September 21, 2025
  • Wakurugenzi watakiwa kutenga maeneo yatakayowawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika kilimo

    September 21, 2025
  • Halmashauri za Dodoma zatakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato

    September 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.