• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wananchi washuhudia utiaji saini mkataba wa mradi wa TACTIC

Imewekwa tarehe: February 7th, 2025

Na. Coletha Charles, DODOMA

Wananchi wa Jiji la Dodoma wamejitokeza kwa wingi kushuhudia hafla ya utiaji saini mkataba wa Mradi wa “Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness” (TACTIC), unaolenga kuboresha na kujenga miundombinu muhimu katika jiji hilo ikiwa ni pamoja na Uboreshaji wa Ujenzi wa Soko, Vituo vya daladala pamoja na vivuko.

Aidha, Mchengerwa aliwaelekeza watendaji wa serikali chini ya TAMISEMI wasimamie miradi hiyo, wakipita sehemu wakakuta kuna changamoto ambazo watendaji hao walikuwa na uwezo wa kuzitatua watachukua hatua kwasababu jukumu kubwa ni kuitunza miundombinu inayojengwa.

Kwa upande wake, mfanyabiashara na  mkazi wa Nzuguni, Kuruthum Musse, alieleza furaha yake kubwa baada ya serikali kuwapelekea mradi wa ujenzi wa kituo cha daladala katika eneo lao kwa kuwa ujenzi huo ni hatua muhimu katika kuboresha huduma za usafiri na kupunguza changamoto kwa wananchi, kushushwa sehemu ambayo mazingira siyo rafiki. “Miundombinu tunayoenda kutengenezewa tunatakiwa tuitunze, tuiangalie, pia tuilinde hata ukiona mtu anataka kufanya chochote kwenye huo mradi lazima ukemee na unajua serikali ni mimi na wewe. Kituo hiki kitawasaidia abiria kupata usafiri kwa urahisi na kwa wakati. Naona matumaini makubwa kuwa mradi huu utaleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu.” alisema Musse.

Nae, Mwanafunzi anayesoma stashahada ya Utendaji katika Chuo cha Serikali za Mitaa Dodoma, Kampasi ya Dodoma Mjini, Jafar Jamal, aliipongeza serikali kwa hatua waliyoichukua ya kusaini mkataba kwa sababu wananchi watanufaika na miradi hiyo itaondoa changamoto nyingi za usafiri kwenye maeneo yenye wingi wa abiria. “Binafsi kama mwananchi nitajitahidi kulinda miundombinu inayotekelezwa na serikali ili ilete manufaa kwetu. Lakini pia hii ni hatua muhimu kwa sisi wakazi wa Dodoma kwasababu tunahitaji miundombinu bora ili kuboresha maisha. Kwangu mimi natarajia kuona mabadiliko makubwa kwenye huduma za usafiri” alisema Jamal.

Mradi wa TACTIC ni mojawapo ya miradi inayofadhiliwa na serikali kuu kupitia mkopo wa Benki ya Dunia wenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 410 (Bila VAT). Malengo ya mradi huu ni kuboresha miundombinu ya Tanzania Pamoja na kuzijengea uwezo taasisi (Halmashauri) ili ziweze kujiimarisha katika usimamizi wa uendeshaji miji pamoja na ukusanyaji wa mapato.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.