• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Watanzania waaswa kutunza tunu ya Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

Imewekwa tarehe: July 13th, 2025

Na. Sofia Remmi, Dodoma RS

Watanzania wametakiwa kuendelea kuitunza Tunu ya amani wakati nchi ikielekea kwenye zoezi la Kitaifa la uchaguzi mkuu huku wanasiasa wakitakiwa kufanya kampeni za kistaarabu ambazo hazichochei hasira na vurugu zisizo na tija.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Taifa, Askofu Dkt. Venance Chande, aliyasema hayo wakati wa mkutano wa kutoa taarifa ya kongamano lililoandaliwa na Idara ya Elimu ya Mahakama ya Kadhi na Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.

Askofu huyo alisema kuwa amani ndio msingi wa maendeleo ya Taifa lolote Duniani. “Sisi watanzania hatujazoea kugombana, tumezoea kuishi pamoja kwa umoja na upendo, hatujazoea kubaguana kwa misingi ya makabila au dini zetu, hayo ndiyo maisha tuliyoyazoea kuishi” alisema Dkt. Chande.

Aidha, amewataka Wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu. “Wanasiasa, huu ni mwaka wa uchaguzi, kampeni zifanyike kistaarabu zisiwe za kuchochea hasira, washawishi kwa Sera, tupingane kwa hoja na si kwa kuchochea vurugu zisizokuwa na tija kwa Taifa” Dkt. Chande.

Kwa upande wake, Naibu Kadhi, Shekhe Ally Nguruko alisema kuwa lengo la kongamano hilo ni kujadili hatma ya nchi katika suala zima la amani kuelekea uchaguzi mkuu. Vilevile, alisema kuwa kongamano hilo litakuwa la pili ambapo la kwanza lilifanyika jijini Dar es Salaam na linabeba kaulimbiu ya “Amani Yetu, Taifa Letu”.

Aliongeza kuwa, miongoni mwa mada zitakazotolewa ni athari za mitandao katika kuchangia kuharibika kwa amani, Afya duni ya akili na nyinginezo.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Shekimweri: Maafisa tarafa na Watendaji wa kata zingatieni Maadili na Uwajibikaji

    July 23, 2025
  • Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, Ukimwi na Malaria nchini

    July 22, 2025
  • Ushirikiano kati ya tanzania na canada waipaisha sekta ya afya

    July 21, 2025
  • Vifaa vya kupima maji vitumike mara baada ya mafunzo

    July 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.