• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wazazi wapongezwa kuchangia chakula S/M Uhuru

Imewekwa tarehe: May 20th, 2025

Na. Aisha Ibrahim, UHURU

Wazazi na walezi wamekuwa na mchango mkubwa katika kupanda kwa kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi kutokana na juhudi kubwa wanayoifanya ya kutoa michango na nafaka shuleni ili kuhakikisha wanafunzi wanapata lishe bora na kuongeza kiwango cha umakini jambo linalopelekea kupanda kwa kiwango cha ufaulu.

Kauli hiyo ilitolewa na Mwl. Sospeter Ramadhan, kutoka Shule ya Msingi Uhuru wakati akifafanua kuhusu utekelezaji wa ajenda ya lishe shuleni na umuhimu wake kwa waandishi wa habari waliotembelea shule yake kuona utekelezaji wa agenda ya lishe. 

Alisema kuwa katika kuhakikisha wanafunzi wanasoma na kuelewa, shule hiyo imekuwa na ushirikiano wa hali ya juu na wazazi na walezi kutoa michango ya fedha na nafaka ili watoto wapate chakula, pia mchango wa mawazo kwa lengo la kuboresha kiwango cha elimu bora. “Wazazi na walezi wamekuwa mstari wa mbele kujitolea michango ya fedha na hata mawazo ili kuhakikisha watoto hawa wanapata chakula wawapo shuleni. Jambo hili ni hamasa kubwa na hupelekea wanafunzi wetu kufaulu vizuri. Watoto wetu wanapata lishe kama ifuatavyo; darasa la kwanza na la pili kwakuwa wanarudi nyumbani kwao ifikapo saa tano asubuhi wao wanapata uji wa lishe pekee. Kuanzia darasa la tatu mpaka la saba, kwakuwa wanatoka shule saa 10 jioni wao wanapata uji pamoja na chakula cha mchana” alisema Mwl. Ramadhani.

Kwa upande wake mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo, Fathiya Saleh alisema kuwa kabla ya kuletewa mpango wa chakula shuleni, wanafunzi walikuwa wanashindwa kumsikiliza mwalimu vizuri pindi anapofundisha. “Kabla hatujaanza kupikiwa shuleni tulikuwa tukikaa darasani mchana tunaanza kusinzia kwasababu ya njaa na kushindwa kumsikiliza mwalimu akiwa anafundisha” alisema Saleh.

Aliongeza kuwa, anaishukuru serikali ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia huduma ya chakula shuleni kwasababu kupitia mpango huo umeweza kuinua ufaulu wao kwa kiwango cha hali ya juu na pia aliahidi kusoma kwa bidii na kuweza kufaulu masomo vizuri.



Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.