Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho sio za kweli. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu imesema taarifa hzo ni za upotoshaji na zipuuzwe.
Taarifa hiyo ambayo haioneshi chanzo chake kama ni ya kwenye televisheni au kwenye blog, imeunganisha kauli ya TAMISEMI na kuweka picha ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikionesha kwamba vyuo na shule vitafunguliwa Jumatano bila kuonesha ni Jumatano ipi.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.