WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo tarehe 12 Septemba, 2022 ametembelea ujenzi wa jengo la Ofisi za wizara ya Afya unaoendelea katika Mji wa Serikali - Mtumba Jijini Dodoma.
Katika ziara hiyo Waziri Ummy ameonesha kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo lenye ghorofa tisa ambapo hadi kukamilika litagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 23.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.