• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri wa Afya azindua mpango wa Huduma za Kibingwa bila malipo

Imewekwa tarehe: November 5th, 2022

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Tanga Mjini leo tarehe 5/11/2022 amezindua Mpango wa kutoa Huduma za Upasuaji wa Kibingwa bila malipo kwa wakazi wa Tanga.

Mpango huo ambao utasaidia kufanyika kwa upasuaji utakafanywa na Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Peleks Humanitarian Organisation ya nchini Uingereza ambapo jumla ya wagonjwa 380 watafaidika kati ya wagonjwa zaidi ya 700 waliofanyiwa uchunguzi (screening).

Kambi hii ya matibabu bingwa ya upasuaji imewezeshwa na Taasisi ya Watumishi Health Check, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini ambapo kwa pamoja wamewaleta wataalamu hao wa upasuaji kutoka Uingereza.

Akizungumza katika Ufunguzi wa Kambi hiyo Mh Ummy amesema kuwa Tanzania bado ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa hivyo mpango huu wa kambi ya Upasuaji wa huduma za kibingwa unajitaiika sana sio tu kwa Mkoa wa Tanga bali katika Mikoa yote nchini.

Mwalimu amewashukuru Wataalam wa Peleks na Watumishi Afya Check kwa kudhamini Mpango huu ambao utasaidia wana Tanga na Watanzania kwa ujumla kupata matibabu,dawa vifaa tiba bila gharama yoyote.

Aidha Mkurugenzi wa Watumishi Afya Check Dkt. Siraji Mtulia ameeleza kuwa Upasuaji huo utafanyika kuanzia tarehe 5/11/2022 mpaka 11/11/2022 na utagharimu jumla ya shilingi milioni mia nane themanini na sita (mil. 876)

Hafla hiyo ya Ufunguaji ya Matibabu ya Upasuaji wa Kibingwa pia imehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe Hashim Mgandilwa; Naibu katibu mkuu wizara ya Afya Dr. Seif Shekalaghe, Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Abdulrahamani Shilloo, Mganga Mkuu wa Mkoa waTanga, Wahe Madiwani na viongozi wa Chama Cha MapinduziWilaya ya Tanga.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.