Na. Coletha Charles na John Malima
Hakimu Mkazi wa Dodoma, Theresia Kiwango, amewaapisha viongozi 236 wa Serikali za Mitaa Wenyeviti na Wajumbe wao Katika ukumbi wa shule ya sekondari Bihawana kiapo Cha uaminifu na kutunza siri na kiapo Cha utii na uadilifu.
Zoezi hili limefanyika leo tarehe 28 Novemba, 2024 Katika Tarafa ya Zuzu Kwa kujumlisha kata nane (8) Mpunguzi 24, Zuzu 26, Mbabala 45, Matumbulu 18, Mkonze 39, chigongwe 24, Nala 26 na Mbalawala 34.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.