HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA Dodoma ikishirikiana na taasisi ya THE ONE NEW HEART Tanzania wanawatangazia wazazi wote wenye watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo kuwaleta watoto wao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia tarehe 9 - 11 Novemba 2020 kwa ajili ya uchunguzi/vipimo vya moyo.
Huduma hii itatolewa na Madaktari wazawa wakishirikiana na Madaktari kutoka nchini Marekani.
Uchunguzi huu wa magonjwa ya moto utahusisha Watoto wenye umri kuanzia siku 1 mpaka miaka 15 na ni BURE!
"Wote mnakaribishwa"
Kwa Mawasiliano zaidi:
Simu: +255 768 892 273
Barua pepe: info@onenewheart-tz.co.uk
Tovuti: www.onenewheart-tz.co.uk
Chanzo: @benjamin_mkapa_hospital (instagram)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.