Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ni mojawapo ya Halmashauri nane za Mkoa wa Dodoma zinazotekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini. Manispaa ya Dodoma ina Mitaa 170 na Vijiji 18. Mpango huu ulizinduliwa katika Manispaa hii mwezi Aprili 2014. Aidha wakati wa uanzishwaji wa Mradi wa TASAF III Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ilikuwa na Vijiji vingi hivyo Mradi wa TASAF III uko katika Vijiji 25 na Mitaa 48 inayotambulika na Mradi.
Kwa ufafanuzi zaidi bofya hapa:Mradi wa TASAF III - Taarifa ya Utekelezaji
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.