Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi amefanya kikao cha kazi na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Vijiji wote wa Manispaa Septemba 16, 2017 katika Ukumbi St. Gasper uliopo mjini Dodoma, lengo kuu likiwa ni kuboresha utendaji wa kazi na mahusiano.
Kusoma zaidi bofya hapa> WATENDAJI NA WENYEVITI NA MITAA/VIJIJI DODOMA WAPIGWA MSASA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.