Viongozi nchini tujifunze Dodoma Jiji - M'kiti ALAT
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imetoa mikopo ya asilimia kumi (10%) ya kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa vikundi vipatavyo 111 vikijumuisha vikundi vya akina mama, vijana na watu wenye ulemavu.
Kata ya Chang'ombe imempongeza Diwani wao Mhe. Bakari Fundikira kwa jinsi anavyoshughulikia kero za elimu na afya katika Kata hiyo.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.