Mwandishi wetu leo ametembea viunga vya Jiji la Dodoma na kuzungumza na wananchi ambao wameelezea kufurahishwa kwao na maendeleo yanayofanyika katika jiji la Dodoma.
Endelea pamoja nasi...
Elimu bure kwa faida, Jifunze kutengeneza mifuko mbadala.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimeza Lukuvi ameuvalia njuga mgogoro wa ardhi katika eneo la Mji mwema Jijini Dodoma, mgogoro huo uliodumu kwa karibu miaka 40 umepataa mwalubaini. Akiongea huku akishangiriwa na wananchi, Lukuvi ameweka mkakati ambao utaondoa tatizo lililokuwepo kwa amani na haki kwa kila mwananchi.
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.