Imewekwa tarehe: September 24th, 2024
VIONGOZI wa soko la wazi la Machinga lililopo Mtaa wa Kitenge, Kata ya Majengo katika Jiji la Dodoma, wamesimamishwa uongozi kupisha uchunguzi kutokana na kudaiwa kutenda makosa ya kiuongozi na kijina...
Imewekwa tarehe: September 23rd, 2024
Na. Faraja Mbise, DODOMA
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde, ameahidi kuwatengenezea mazingira mazuri na rafiki ya kufanyia biashara mama lishe waliopo pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa...
Imewekwa tarehe: September 22nd, 2024
Na. Valeria Adam, Dodoma
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri, ametembelea miradi ya serikali iliyopo Kata ya Mtumba na kusisitiza elimu kuwa agenda ya kudumu.
Akizungumza na walimu ...