Imewekwa tarehe: October 3rd, 2019
SERIKALI inaandaa mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kichaa cha mbwa, wenye lengo kuu la kutokomeza ugonjwa huo ifi kapo mwaka 2030. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jam...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2019
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwalinda wazee dhidi ya vitendo vya ukatili, kuwawekea miundombinu na mazingira bora katika kutumia vyombo vya usafiri na kuweka u...
Imewekwa tarehe: October 1st, 2019
WAZEE ni hazina kutokana na mchango wao katika kupigania uhuru na kutengeneza dira ya maendeleo kwa taifa.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi aliyekuwa mgeni rasmi k...