Imewekwa tarehe: January 26th, 2025
Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (route 2) Naibu Meya, Fadhili Chibago ilifanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa ukamilishaji wa maabara tatu katika Shule ya Sekonda...
Imewekwa tarehe: January 25th, 2025
Na. Dennis Gondwe, ZUZU
UJENZI wa Kituo cha Afya Zuzu umefikia asilimia 98 ya utekelezaji kikitarajiwa kuhudumia wananchi 10,054 kwa kuwahakikishia huduma bora za afya na kuwaondolea hadha ya kusaf...
Imewekwa tarehe: January 24th, 2025
Na. Shahanazi Subeti, DODOMA
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri aliitaka jamii kuzingatia suala la usafi wa mazingira katika maeneo yao ili kujikinga na magonjwa na kufanya mji ...