Imewekwa tarehe: October 1st, 2020
Wagonjwa wa Sikoseli nchini wamepewa unafuu wa gharama na upatikanaji wa dawa baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya kuweka mikakati madhubuti inayolenga kuboresha huduma kwa wagonjwa hao.
Hayo y...
Imewekwa tarehe: October 1st, 2020
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amekagua ukarabati wa jengo la Bunge leo Oktoba 1, 2020 jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo Spika aliambatana na Katibu wa Bunge, Steph...
Imewekwa tarehe: September 30th, 2020
Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao umeundwa Aprili 26, 1964 na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ...