Imewekwa tarehe: September 10th, 2021
WAZIRI wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 207 kwa ajili ya kuhakikisha maji salama yanapatikana...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2021
WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amewaagiza Mawaziri na Makatibu Wakuu wasimamie kikamilifu awamu ya pili ya mpango wa ujenzi wa Mji wa Serikali ulipo Mtumba j...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2021
Na Sifa Stanley, DODOMA
MAAFISA kilimo wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamepatiwa mafunzo endelevu ya kilimo cha zao la zabibu ili kulipa thamani na kuongeza mavuno ya zao hilo lililotangazwa na s...