Imewekwa tarehe: May 8th, 2023
FAMILIA zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni
Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
Imewekwa tarehe: May 7th, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia na ile ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ziandae utaratibu utakaosaidia vijana kujifunza na kumfahamu zaidi hayati Mwalimu Jul...
Imewekwa tarehe: May 6th, 2023
WIZARA ya Afya itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa kisekta katika kuhakikisha huduma za afya zinazotolewa nchini zinapatikana karibu na wananchi na kwa ubora wa hali ya juu.
Hayo yalisem...