Imewekwa tarehe: December 6th, 2022
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Desemba 06, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mratibu wa Malaria wa Dunia kutoka Marekani Dkt. David Walton aliyeambatana na wajumbe kutoka CDC, USAID...
Imewekwa tarehe: December 6th, 2022
MATUMIZI ya dawa za muda mfupi ambayo ni mchanganyiko wa dawa mbili (Isoniazid na Rifampicin) zitasaidia sana kupunguza watu kuugua kifua kikuu nchini.
Hayo yamesemwa na Meneja Mpango wa Taifa wa k...
Imewekwa tarehe: December 5th, 2022
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha St. John’s Tanzania, wametakiwa kutumia ujuzi na maarifa waliyoyapata kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi pekee ili kujikwamua kimaisha.
Hayo alisema Makamu Mkuu wa...