Imewekwa tarehe: April 21st, 2023
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 7,222.
Alise...
Imewekwa tarehe: April 20th, 2023
WATAALAM wa Maabara na Watarajali nchini wametakiwa kuzingatia maadili na taaluma zao ili kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.
Msajili wa Baraza la Wataalamu wa Maabara Nchini Mary Mtui ameyasema h...
Imewekwa tarehe: April 19th, 2023
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja). Tanganyika ilikuwa ni mwendelezo wa koloni la U...