Imewekwa tarehe: August 21st, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Balozi John William Herbert Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Katika taarifa iliyotolewa na Mkur...
Imewekwa tarehe: August 21st, 2020
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuwahudumia wananchi wa Makao Makuu ...
Imewekwa tarehe: August 21st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge amempongeza Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na akimtaka kufanya kazi kwa bidii na kudumisha ushirikiano...