Imewekwa tarehe: September 9th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wake Marehemu Hellen Minja aliyefariki tarehe 7 Septemba, 2020 katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Akitoa sa...
Imewekwa tarehe: September 8th, 2020
SERIKALI imetatua changamoto za uhaba wa miundombinu ya majengo katika Shule ya Sekondari ya Kibakwe wilayani Mpwapwa kwa kutoa Sh milioni 150 ili kujenga majengo na kuboresha mazingira ya kufundishia...
Imewekwa tarehe: September 8th, 2020
SERIKALI imetoa zaidi ya Sh milioni 600 kwa ajili ya kujenga vituo viwili vya afya pembeni ya Barabara ya Dodoma Iringa kwa ajili ya kusaidia wananchi wa maeneo hayo na wasafari wanaotumia barabara hi...