Imewekwa tarehe: January 30th, 2019
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imeandaa michoro 245 yenye viwanja 161,069 kwa kipindi cha mwezi Mei, 2017 hadi Januari 2019,.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa idara ya Ardhi, Mipango Miji, na Maliasili Jos...
Imewekwa tarehe: January 24th, 2019
MADIWANI wa Halmashauri ya jiji la Dodoma wametakiwa kuwasilisha changamoto zinazohitaji utatuzi wa haraka ili ziweze kushughulikiwa mapema na kuwahakikishia wananchi huduma bora.
Kauli hiyo ilitol...
Imewekwa tarehe: January 24th, 2019
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imekusanya zaidi ya shilingi bilioni 40 katika kipindi cha mwezi Julai hadi Disemba 2018 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani, hivyo kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi ...