Imewekwa tarehe: November 16th, 2022
Na. Catherine Sungura, WAF-Dodoma
UDHIBITI wa usafi binafsi na usafi wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia sabini (70) ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu.
...
Imewekwa tarehe: November 16th, 2022
Maadhimisho ya Wiki ya Usafi wa Mazingira yamefanyika kwa tukio la Wananchi wakishirikiana na Viongozi wa Serikali kufanya usafi leo tarehe 16 Novemba, 2022 katika eneo linalozunguka Soko la Bonanza J...
Imewekwa tarehe: November 15th, 2022
MKUTANO wa 27 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaendelea katika Jiji la Sharm El Sheikh nchini Misri ambapo kwa wiki ya kwanza viongozi wakuu wa nchi na...