Imewekwa tarehe: August 14th, 2018
Halmshauri ya Jiji la Dodoma imeibuka mshindi wa kwanza katika maonesho ya Wakulima maarufu kama Nanenane kwa kundi la Halmashauri za Mkoa wa Dodoma, ambapo imezishinda Halmashauri nyingine saba za Mk...
Imewekwa tarehe: August 5th, 2018
Mwenge wa Uhuru leo Agosti 5, 2018, umeingia na kuanza mbio zake katika Wilaya ya Dodoma ambapo ulikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Patrobas Katambi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe....
Imewekwa tarehe: August 2nd, 2018
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Godwin Kunambi jana ametangaza mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake kuwa, amepokea barua ...