Imewekwa tarehe: August 7th, 2021
Na. Sifa Stanley, DODOMA
MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Andrew Method amewaondoa hofu wanawake wajawazito kuwa chanjo ya UVIKO-19 inayotolewa sasa nchini haina madhara kwao.
...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2021
TIMU ya menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma inaheshimu maoni na ushauri wa Mkaguzi wa Ndani katika kujenga halmashauri inayowajibika katika matumizi ya fedha.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuru...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2021
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amepongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kurahisisha mawasiliano na utendaji kazi baina ya waheshimiwa madi...